Mwandishi wa Kitabu cha Samia na Falsafa ya Samialojia,ndugu Derek Murusuri akipokea Ilani ya Uchaguzi ya Wanawake kutoka kwa viongozi wa Mfuko wa Wanawake Tanzania.Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ruzuku na uteuzi wa miradi, Dkt. Dinah Mmbaga na kulia ni Mjumbe wa Kamati,Bi.Mary Kabatange.
