Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dkt.Samia maadhimisho ya miaka 10 ya WCF

DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 04, 2025 amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya miaka kumi ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Maadhimisho hayo yana lengo la kutathmini mafanikio yaliyofikiwa katika kipindi cha miaka kumi, kuonesha mshikamano kati ya wadau na kuweka mikakati ya kuboresha huduma za fidia kwa wafanyakazi nchini.
Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni "Miaka kumi ya Fidia kwa Wafanyakazi-Kazi Iendelee."

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news