BoT yampongeza Isack Nikodem Kihwili kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa DIB
DAR-Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imempongeza, Bw.Isack Nikodem Kihwili kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Bima ya Amana katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia Agosti 1,mwaka huu.