Dkt.Biteko ashiriki kupiga kura Bukombe mchakato wa CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Dkt.Doto Mashaka Biteko Agosti 4, 2025 akiwa ukumbini pamoja na wajumbe wengine wa mkutano mkuu wa kata ya Bulangwa wakisikiliza maelekezo kutoka Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mjumbe wa kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya, Ndugu. Paskasi Mlagiri kuelekea kupiga kura za maoni katika nafasi ya Udiwani na Ubunge Jimbo la Bukonbe, Mkoani Geita.

Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko ashiriki kupiga kura za maoni kwa nafasi ya Ubunge na Udiwani katika kata ya Bulangwa ambapo Msimamizi wa Uchaguzi ni Ndugu. Paskasi Mlagiri Mjumbe wa kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya ya Bukombe, Agosti 4, 2025 mkoani Geita.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news