Dkt.Biteko ashiriki maziko ya Spika mstaafu Job Yustino Ndugai

DODOMA-Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Agosti 11, 2025 ameshiriki maziko ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai yaliyofanyika katika Kijiji cha Sujulile wilayani Kongwa, Mkoa wa Dodoma.
Maziko hayo yameongozwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama Cha Mapinduzi pamoja na Viongozi wa Dini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news