DODOMA-Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kimefanyika jijini Dodoma leo Agosti 21,2025.
Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa CCM Tàifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan.




