Maandalizi ya kikao kazi cha faragha (retreat) kwa viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii yakamilika

MANYARA-Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Abdallah Mvungi, amefanya ukaguzi wa maandalizi ya mwisho kwa ajili ya kikao kazi cha faragha (retreat) cha viongozi wa wizara hiyo.
Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 1 hadi 4 Septemba 2025 katika Hifadhi ya Ziwa Manyara na Hifadhi ya Ngorongoro.
"Maandalizi hayo sasa yamekamilika, tunawakaribisha viongozi wote wa wizara kushiriki katika kikao hiki muhimu ambacho kitalenga kujadili mipango na mikakati ya maendeleo ya sekta ya maliasili na utalii nchini, sambamba na kutumia muda huo kupumzisha akili na kujenga mshikamano miongoni mwao,"amesema Bw.Mvungi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news