Klabu ya Yanga imetangaza kuwa sherehe za kilele cha WIKI YA MWANANCHI itafanyika ljumaa ya Septemba 12, 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa ikiwa ni siku mbili baada ya tarehe ya SIMBA DAY 2025 iliyopangwa kufanyika Septemba 10, 2025.
Aidha, baada ya mitanange hiyo, watani hao wa jadi kwa mujibu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) watakutana Septemba 16,2025 katika mchezo wa Ngao ya Jamii.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo

















