Magazeti leo Agosti 22,2025

MGANGA Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Waganga Wafawidhi wa hospitali za Rufaa kuzingatia mawasiliano ya awali kabla ya kumpa mgonjwa rufaa kwenda hospitali ya Kanda kwa lengo kutoa msaada wa haraka kwa mgonjwa.
Ameyasema hayo Agosti 21, 2025 wakati akifungua Kikao Kazi cha Kikanda cha Uboreshaji wa Huduma za Tiba kati ya Hospitali ya Kanda ya Benjamini Mkapa na Waganga Wakuu wa Mikoa na waganga wafawidhi wa hospitali za rufaa za Mikoa, kilichoambatana na ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news