TANGU ameingia madarakani,Kapteni Ibrahim Traoré mnamo mwaka 2022, Burkina Faso imeongeza faida yake ya kuchimba dhahabu kutoka dola bilioni 1 hadi dola bilioni 18 kufuatia kupiga marufuku kampuni za Magharibi kuchukua udhibiti wa rasilimali zake. 

Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo,chini ya uongozi wake, nchi ilitaifisha migodi muhimu, na ikarudisha faida kwa nchi.
Pesa hiyo sasa inatumika kuwekeza katika miundombinu ya umma, shule, huduma za afya, na utetezi katika kuhakikisha utajiri wa Burkina Faso unanufaisha watu wake.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo




















