NYOTA wa Bongo Flava, na mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nurdin Bilal ameibuka mshindi wa kura za maoni za CCM kwa nafasi ya udiwani katika Kata ya Mchikichini, wilayani Ilala, Dar es Salaam.
Katika mchakato huo wa kura za maoni uliohusisha wagombea mbalimbali, Shetta akiwazidi wapinzani wake kwa kupata jumla ya kura 293 huku Azimkhan Akber Azmkhan akipata kura 178 na Joseph John Ngowa aliyepata kura saba pekee.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo



















