Mgombea wa Chama cha MAKINI achukua fomu INEC za kuwania Urais


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Makini (MAKINI), Mhe. Coster Jimmy Kibonde. Mgombea huyo wa MAKINI aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Aziza Haji Suleiman (kushoto) alichukua fomu hizo Agosti 10, 2025 ambapo Tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27, mwaka huu. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Makini (MAKINI), Mhe. Coster Jimmy Kibonde. Mgombea huyo wa MAKINI aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Aziza Haji Suleiman (kushoto) alichukua fomu hizo Agosti 10, 2025 ambapo Tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27,mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wakiwa katika ukumbi wa utoaji fomu. Kusho ni Mhe. Jaji Asina Omar akiwa na Mhe. Balozi Ramadhani Omar Mapuri.
Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wakiwa katika ukumbi wa utoaji fomu. Kulia ni Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar akiwa na Mhe. Magadalena Rwebangira.
Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele.

Mkurugenzi wa Uchaguzi,Ndg. Ramadhani Kailima akizungumza.
Mgombea akisaini kitabu.
Mgombea Mwenza akisaini kitabu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news