UMD yasimamisha wagombea wanawake Urais, wachukua fomu za kuomba uteuzi wa INEC


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo. Mgombea huyo alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27, mwaka huu. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo. Mgombea huyo aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Mashavu Alawi Haji (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27,mwaka huu. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo. Mgombea huyo aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Mashavu Alawi Haji (kushoto), wamechukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27,mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo na Mgombea Mwenza, Mhe. Mashavu Alawi Haji (kushoto) wakionesha mkoba wa fomu.
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo.
Mgombea Mwenza, Mhe. Mashavu Alawi Haji.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitoa maelezo.
Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mstaafu Mbarouk Salim Mbarouk akiwa katika ukumbi wa kutolea fomu.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitoa maelezo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kailima akimuelekeza namna ya kujaza kitabu mgombea.
Sehemu ya wanachama wa Chama cha UMD.
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo akisaini kitabu.
Mgombea Mwenza, Mhe. Mashavu Alawi Haji akisaini kitabu.
Mgombea Mwenza, Mhe. Mashavu Alawi Haji akisaini kitabu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news