GEITA-Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Mheshimiwa Dkt.Doto Mashaka Biteko ameaminiwa tena na na Chama Cha Mapinduzi (CCM), hivyo kumpa ridhaa ya kwenda kukiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu ujao Oktoba 29,2025. Imani hii imekuja baada ya wajumbe kumpa ushindi wa kishindo leo Agosti 4,2025.
IDADI YA WAPIGA KURA JIMBO LA BUKOMBE - GEITA NI 7,845
Wajumbe waliohudhuria 7456
Wajumbe wasiohudhuria 389
Idadi ya kura zilizopigwa 7456
Idadi ya kura zilizoharibika 15
Idadi ya kura halali 7441
✅ KURA ZA NDIO 7441
✅ KURA ZA HAPANA 00
WASTANI WA WAPIGA KURA WALIOJITOKEZA NI 95.04%
WASTANI WA USHINDI NI 99.8%
