Wananchi waendelea kujifunza mengi banda la WMA maonesho ya Nananane

DODOMA-Wananchi mbalimbali wameendelea kutembelea Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika Maonesho ya NaneNane kitaifa mkoani Dodoma na kupatiwa elimu ya vipimo.
Pamoja na kupatiwa elimu ya vipimo, wananchi hao wanapata fursa ya kuuliza maswali ana kwa ana na kujibiwa na wataalamu pamoja na kuelekezwa kwa vitendo namna WMA inavyohakiki vipimo mbalimbali ili kumlinda mlaji.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news