Wananchi wakaribishwa Nanenane kufahamu kwa kina mpango mahususi wa Nishati 2025 hadi 2030

DODOMA-Wizara ya Nishati imekaribisha wananchi kuendelea kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima- NANENANE jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo Mpango mahsusi wa Taifa wa Nishati wa mwaka 2025-2030.
Imeelezwa kuwa, mpango huo uliosainiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Misheni 300 mwezi Januari 2025 unalenga kuunganisha umeme kwa wananchi milioni 8.3 ifikapo 2030 na kufikisha nishati safi ya kupikia kwa asilimia 75 ya Watanzania ifikapo 2030.

Mpango huo pia unalengai kiwemo kuongeza upatikanaji wa umeme na kuongeza ushiriki wa nishati jadidifu katika uzalishaji wa umeme.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news