Magazeti leo Septemba 29,2025

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CUF), Samandito Gombo amesema, siku 100 baada ya kuchaguliwa kuwa Rais atahakikisha anaanzisha mchakato wa katiba mpya na itakuwa ni siku ya kwanza baada ya kuapishwa.
Gombo aliyasema hayo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari jijini Tanga ambapo alisema atateua tume ya kuanza kushughulika na suala la katiba mpya kwa sababu ndio mama wa kila jambo na demokrasia ya nchi kama wanataka iende vizuri.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news