Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla jana Septemba 05, 2025 amekagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu utakaotumika kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika ya (AFCON) mwaka 2027.
Uwanja huo unajengwa na serikali kwa gharama ya Sh bilioni 340, kwenye kata ya Olmot jijini Arusha.












Ukaguzi huo umefanyika baada ya kikao kazi kilichofanyika kikihusisha wakuu wa idara na mamlaka zinazohusika na miundombinu ya huduma za maji, nishati, barabara na mawasiliano katika uwanja huo.
Wamehimiza kuteua kikosi kazi cha wataalamu wa sekta hizo chini ya mwakilishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, ambao watakuwa uwanjani hapo muda wote kushughulikia uwekaji wa miundombinu hiyo chini ya mpango mkakati wa dharura.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo




.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)


.jpeg)
.jpeg)

