
Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuwa waangalifu katika kuandika habari za uchaguzi ili kuepusha uchochezi na uvunjifu wa amani katika kipindi chote cha Uchaguzi Mkuu unayotarajiwa kufanyika Oktoba,2025.Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jaji George Joseph Kazi katika Ukumbi wa Tume hiyo Maisara katika Mafunzo ya wadau wa habari wa Uchaguzi Mkuu.
Amesema kuwa, lugha ya mwandishi inaweza kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani au ni yenye kudumisha Amani hivyo ni vyema kuzingatia maadili, haki na wajibu katika kazi zao.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo























