Kando ya Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Tabianchi jijini Addis Ababa nchini Ethiopia, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Mhe. Mahmoud Ali Youssouf pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete Antonio.






