HomeArusha Stadium Muonekano wa uwanja mpya wa michezo wa Arusha (Samia Suluhu Hassan Stadium) ARUSHA-Tazama muonekano wa uwanja mpya wa michezo wa Arusha (Samia Suluhu Hassan Stadium) uliopo eneo la Olomoti jijini Arusha.Uwanja huu una ukubwa wa mita 105 kwa mita 68 ambapo ukikamilika una uwezo wa kuhudumia mashabiki 30,000. Tags Arusha Stadium Habari Michezo Samia Suluhu Hassan Stadium Facebook Twitter