"Ninawashukuru Wanabukombe wote kwa kunipa nafasi ya kulitumikia Jimbo letu katika kipindi cha mwaka 2020-2025.
"Tumefanya maendeleo mengi chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan.Naomba kura yako niendelee kutumikia Jimbo la Bukombe 2025-2030 kwa Maendeleo yetu."
#OktobaTunatiki
#ChaguaCCM
#MchagueSamia
#MchagueBiteko
#KusemaNaKutenda
#KaziNaUtuTunasongaMbele
