Rais Dkt.Mwinyi aongoza kikao cha Tume ya Mipango Zanzibar
ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt.Hussein Ali Mwinyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Mipango Zanzibar, ameongoza kikao cha Tume ya Mipango kilichofanyika leo Septemba,2025 Ikulu Zanzibar.