Zanzibar inahitaji uongozi thabiti, wenye dira na unaoendelea kuacha alama za maendeleo. Kwa miaka mitano iliyopita, tumeshuhudia kasi ya mabadiliko chanya katika nyanja za kijamii na kiuchumi chini ya kiongozi mahiri, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi.
Mwaka 2025 tunasimama pamoja kuendeleza safari hii:
✅Chagua CCM
✅Chagua Dkt.Hussein Ali Mwinyi
#Uongozi Unaoacha Alama
#HAM2025
#UongoziUnaoachaAlama
#ChaguaCCM
