Magazeti leo Oktoba 28,2025

Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) unaotekeleza ujenzi wa Ndaki ya Tiba, Kampasi za Mloganzila na Kigoma, umeleta tija kwa Taifa kwa kufanya maboresho ya mitaala na kuanzisha mitaala mipya jambo ambalo limepunguza gharama za matibabu sekta ya ambazo wananchi wangekuwa wanaingia kwenda kufata huduma nje ya nchi.
Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 27, 2025, jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ndaki ya Tiba, Kampasi ya Mlogazila, Makamu Mkuu wa Chuo MUHAS, Profesa Appolinary Kamuhabwa, amesema kuwa mradi wa HEET kwa upande wa Mlonganzila ndaki ya Tiba umehusisha ujenzi wa kambi za mihadhara yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 1, 400, Jengo la Utawala lenye ofisi za watumiaji 450, Maabara lenye Maabara 21 za kufundishia.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news