Ni chereko ya nishati safi banda la REA jijini Tanga

TANGA-Wadau wa Sekta ya Nishati na wananchi mbalimbali wakiwa katika banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa ajili ya kununua majiko ya gesi kwa bei ya ruzuku (shilingi 17,500 tu) katika Maadhimisho ya Wiki ya Chakula Duniani 2025 yanayofanyika jijini Tanga.
Maadhimisho hayo yamepambwa na kauli mbiu: "Tuungane kwa pamoja kupata Chakula Bora kwa Maisha Bora ya Baadaye" yamefanyika katika viwanja vya shule ya msingi Usagara jijini humo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news