Rais Dkt.Mwinyi akutana na ujumbe wa EACEOM

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACEOM) Ikulu, Zanzibar.
Misheni hiyo inayoongozwa na Makamu wa Rais Mstaafu wa Uganda, Mhe. Dkt. Specioza Kazibwe na imejipanga kufanya uangalizi katika mikoa tisa ya Tanzania Bara na Zanzibar.
Wakiwa nchini wameweza pia kukutana na wadau mbalimbali wa uchaguzi ikiwa ni sehemu ya majukumu yao.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news