ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika sala ya kumsalia Mwalimu,Bi. Asha Haji Muhammad ambaye ni dada wa Sheikh Khamis Abdulhamid iliyosaliwa Msikiti wa Ijumaa Shangani Mkokotoni, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu pahala pema Peponi.Amen.










