Waziri Kombo afanya mazungumzo na mabalozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) waliopo nchini

DAR-Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) waliopo nchini.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, na yalilenga kujadili fursa za kuimarisha diplomasia ya uchumi na kijamii baina ya Tanzania na Umoja wa Ulaya.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news