ZANZIBAR-Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Novemba 25,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar.
.jpg)










