JESHI la Polisi mkoani Geita limesema limejidhatiti kuhakikisha linakomesha vitendo vya utapeli, ukatili wa kijinsia na ramli chonganishi vinavyofanywa na watu mbalimbali kwa kivuli cha tiba za asili. 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Safia Jongo ametoa kauli hiyo katika mkutano mkuu wa waganga wa tiba za asili mkoani Geita uliofanyika mjini Geita.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo














