Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Novemba 26,2025
DAR-Maafande wa JKT Tanzania wapo kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa alama 13 baada ya kucheza mechi nane huku Pamba Jiji FC wakiwa nafasi ya pili kwa alama 12 baada ya michezo saba.