DAR-Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, Prof. Said A. Mohamed ametangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2025 leo Novemba 5, 2025 jijini Dar es Salaam.
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
PSLE-2025 EXAMINATION RESULTS, HALMASHAURI YA ARUSHA
Matokeo yanaonesha jumla ya watahiniwa 937,581 sawa na asilimia 81.80 ya watahiniwa 1,146,164 wenye matokeo wamefaulu mtihani huo. Bonyenza hapa chini katika mkoa wako na chagua shule husika.
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
PSLE-2025 EXAMINATION RESULTS





