Rais Dkt.Mwinyi amuapisha Dkt.Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar

Hafla ya uapisho imefanyika leo Novemba 6, 2025, Ikulu ya Zanzibar.

Dkt. Mwinyi Talib Haji ameteuliwa tena kushika nafasi hiyo baada ya kuitumikia katika kipindi kilichopita.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news