Gamondi ataja wachezaji wa Taifa Stars watakaoingia kambini kuchuana na Kuwait

DAR-Kaimu kocha Mkuu mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Miguel Angel Gamondi ametaja kikosi cha timu hiyo kitakachoingia kambini Novemba 10, 2025 kwa mchezo wa kirafiki kalenda ya FIFA dhidi ya Kuwait utakaochezwa Novemba 14, 2025 Cairo, Misri.
Mbwana Samatta katika kikosi hicho hajajumuishwa.

Kwenye kikosi hicho cha wachezaji 23, kocha Gamondi amemrejesha mshambuliaji Kelvin John kwenye kikosi cha Taifa Stars

KIKOSI CHA TAIFA STARS

-YAKOUB SULEIMAN (SIMBA SC)

-HUSSEIN MASALANGA (SINGIDA BS)

- ZUBERI FOBA (AZAM FC)

- BAKARI MWAMNYETO (YOUNG AFRICANS)

- SHOMARI KAPOMBE (SIMBA SC)

- MOHAMED HUSSEIN (YOUNG AFRICANS)

- ALPHONCE MABULA (SHAMAKHI, AZERBAIJAN)

- MUDATHIR YAHYA (YOUNG AFRICANS)

- WILSON NANGU (SIMBA SC)

- NOVATUS DISMAS (GÖZTEPE FC, UTURUKI)

- PASCAL MSINDO (AZAM FC)

- IBRAHIM ABDULLA (YOUNG AFRICANS)

- HAJI MNOGA (SALFORD CITY, UINGEREZA)

- DICKSON JOB (YOUNG AFRICANS)

- HABIBU IDD (SINGIDA BS)

- TARRYN ALLARAKHIA (ROCHDALE AFC, UINGEREZA)

- CHARLES M’MOMBWA (FLORIANA FC, MALTA)

- SULEIMAN MWALIMU (SIMBA SC)

- FEISAL SALUM (AZAM FC)

- MORICE ABRAHAM (SIMBA SC)

- ABDUL SULEIMAN (AZAM FC)

- PAUL PETER (JKT TANZANIA)

- KELVIN JOHN (AALBORG BK, DENMARK).
Kikosi cha Taifa Stars kitakachoingia kambini Novemba 10, 2025 kwa mchezo wa kirafiki kalenda ya FIFA dhidi ya Kuwait utakaochezwa Novemba 14, 2025 Cairo, Misri.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news