ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewateua Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Novemba 20, 2025.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi.



