Rais Dkt.Mwinyi kuongoza dua ya kuombea nchi na Taifa la Tanzania
ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Novemba 28,2025 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Dua ya Kuombea nchi na Taifa la Tanzania itakayofanyika Masjid Jamii Zanjibar huko Mazizini.