HomeDkt.Hussein Ali Mwinyi Rais Dkt.Mwinyi kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kesho ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kesho tarehe 22 Novemba 2025 kuanzia saa4 asubuhi katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar. Tags Dkt.Hussein Ali Mwinyi Habari Zanzibar News Facebook Twitter