Tanzania iko tayari kushiriki Mkutano wa Utalii Duniani

Akizungumza katika kikao cha maandalizi na wataalamu wa Tanzania kilichofanyika katika Ubalozi wa Tanzania jijini hapa, Dkt. Abbasi amesema,  Tanzania ikiwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirika hilo, iko tayari kushiriki Mkutano huo muhimu ambapo pamoja na mambo mengine utamchagua Katibu Mkuu mpya wa Taasisi hiyo atakayeanza kazi rasmi Januari, 2026 akiwa na kazi ya kuchagiza maendeleo ya sekta ya utalii duniani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news