Mtaalamu wa magonjwa ya afya ya akili, Dkt. Salum Khalfan Hemed, amesema kuwa mtu anapoanza kuona dalili kama hasira zisizo na sababu, kujitenga na watu, kutopenda kushirikiana na wenzake, pamoja na mabadiliko ya ulaji ikiwemo kula sana au kuto kula kabisa, huenda akawa anakabiliwa na tatizo la afya ya akili.
Dkt. Hemed ameyasema hayo alipokuwa kwenye mahojiano katika kipindi cha Asubuhi Njema cha ZBC Desemba 17, 2025. 

Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo









