HomeAir Tanzania Msimamizi wa Air Tanzania mjini Guangzhou afariki Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Bi.Magret Lesile, aliyekuwa Msimamizi wa Kituo cha Air Tanzania huko Guangzhou nchini China kilichotokea Desemba 29,2025 mjini humo. Tags Air Tanzania ATCL Tanzania Habari Tanzia Facebook Twitter