ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua ndugu Jape Ali Khamis kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Bima Zanzibar (ZIC).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi.
Kabla ya uteuzi huu, Jape alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo. Uteuzi umeanza rasmi leo Disemba 10, 2025.

