TMA yasisitiza umuhimu wa kufuatilia na kuzingatia taarifa za hali ya hewa

DODOMA-Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa Duniani (IPCC), Dkt. Ladislaus Chang'a akieleza umuhimu wa kufuatilia na kuzingatia taarifa za hali ya hewa pamoja na tahadhari za hali mbaya ya hewa wakati wa kikao cha kamati ya Wataalam ya Kitaifa ya Usimamizi wa Maafa tarehe 19 Disemba, 2025 jijini Dodoma.
Kikao hicho kiliongozwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dkt. Jim Yonazi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here