Klabu ya Simba Sc imemtambulisha Nickson Kibabage kama mchezaji wao mpya akitokea Singida Black Stars. Kibabage ambaye alikuwa akiwatumikia mahasimu wa Simba SC, Young Africans SC anatua klabuni hapo kusaidiana na Anthony Mligo kwenye nafasi hiyo.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo














.jpeg)

.jpeg)
