Serikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa Bima ya Afya kwa wote awamu ya kwanza kwa kundi la wananchi wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na walemavu) ambao watagharamiwa na Serikali.
Serikali pia imetangaza kitita cha huduma muhimu kitakachotolewa na skimu za Bima ya Afya kwa gharama ya Shilingi 150,000 kwa Kaya ya watu wasiozidi sita.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo




















