Heri ya Jumapili ya Matawi kutoka Wakala wa Vipimo (WMA)

DODOMA-Wakala wa Vipimo (WMA) unawatakia waumini wote wa Kikristo na wananchi kwa ujumla heri ya maadhimisho ya Jumapili ya Matawi.
Siku hii muhimu inaashiria mwanzo wa Wiki Kuu katika kalenda ya Kikristo, ikikumbusha unyenyekevu, amani na mshikamano katika jamii. Wakala unaendelea kuhimiza maadili mema na uwajibikaji kwa manufaa ya taifa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here