Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Katibu Mkuu Kiongozi pamoja na Waziri Mkuu kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Kutathmini masuala ya Ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro na Uhamaji wa hiari kutoka Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.

Rais Samia ametoa maelekezo hayo Machi 12, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma baada ya kukabidhiwa taarifa kutoka Tume hiyo iliyofanya tathmini ya masuala ya ardhi katika Wilaya ya Ngorongoro na Uhamaji wa hiari kwa wananchi kutoka Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.

Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo