Katibu Mkuu (Mipango) na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dkt. Tausi Kida, amefungua mkutano wa kitaifa unaozikutanisha taasisi za utafiti kujadili namna ya kuoanisha utafiti na mchakato wa upangaji wa maendeleo ya taifa. Mkutano huo umefanyika Machi 23, 2026 jijini Dodoma.
Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano huo, Dkt. Kida amesema Tanzania ipo katika hatua muhimu ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050, inayolenga kujenga uchumi wa trilioni moja pamoja na kuboresha ustawi wa wananchi.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo




























