DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo Machi,2026 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo Machi 5,2026 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Mwigulu Nchemba akishiriki kikao cha Baraza la Mawaziri leo Machi 5,2026 Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mheshimiwa William Lukuvi.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mheshimiwa Hamza Johari akifafanua jambo kwa baadhi ya Mawaziri walioshiriki katika kikao cha Baraza la Mawaziri leo Machi 5,2026 Ikulu jijini Dar es Salaam.