Waziri Kombo atembelea miradi inayotekelezwa na wizara,taasisi zake

ARUSHA-Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea miradi ya maendeleo inayotekelzwa na wizara yake na taasisi zilizo chini ya wizara jijini Arusha.
Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mount Kilimanjaro (MKICC) kwenye eneo la Kijenge na ujenzi wa jengo la ofisi la Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwenye eneo la Lakilaki,Arusha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here